Rukia hadi maudhui
Watusmart Printing Solutions

New Paper Bags Handles Design 2021 - Mifuko Mipya Ya Khaki Ya Mishikio

New Paper Bags Handles Design 2021 - Mifuko Mipya Ya Khaki Ya Mishikio
Tunaitambulisha kwako design mpya ya mifuko ya mishikio ikiwa imara zaidi na yenye mvuto. Mifuko hii hutumika kubebea nguo, mifuko hii kubebea viatu, mifuko hii hubebea vyakula kama kontena za chakula (za take away n.k) Pia mifuko yetu hii hubebea sabuni za natural hair, sabuni za maji , perfumes, lotions , mafuta ya aina zotee. Mifuko hii ukitaka huwekewa mikono au ukitaka bila mikono sisi hufanya hivo. Mifuko yetu huwekewa nembo juu yake au ukitaka bila nembo piaa tunafanya.