Kuhusu Sisi
Design | Printing | Branding | Packaging
Watusmart Prints
Uchapishaji na vifungashio vinavyobeba jina lako
Watusmart Prints ni kampuni ya uchapishaji na vifungashio Dar es Salaam. Tunatengeneza mifuko, box za katoni, vifungashio vya salfeti, T-shirt na vifaa vya matangazo vyenye nembo yako.
Tunafanya kazi na wasagaji wa mchele, wazalishaji wa vyakula, shule, mashirika, mikahawa na maduka Tanzania nzima. Ukihitaji box 50 za pizza au mifuko 10,000 yenye nembo, umakini ni ule ule.
Karakana yetu ipo Kimara Korogwe Stand jijini Dar es Salaam, na tunatuma mikoa yote pamoja na Zanzibar.
30+
Bidhaa
500+
Oda
26
Mikoa
10+
Miaka
Wateja Wetu Wanasema
Wateja Wetu Wanasema
"Watusmart walituprintia box za chaki zenye nembo yetu kwa ubora mkubwa na kwa wakati."
"Tumefurahia maboksi yetu — imara, safi na yanaonyesha brand yetu vizuri."
"Mifuko yetu ya salfeti ina nembo yetu kabisa; wateja wanatutambua sokoni haraka."
"Hata tukiwa Zanzibar, oda zetu zinafika salama na kwa wakati."
"Kazi ya printing ni safi sana — rangi hazififii hata mfuko ukikaa muda mrefu."
"Wanajua wanachofanya. Mifuko yenye nembo yetu ilikuja kama tulivyokubaliana."