Rukia hadi maudhui
Watusmart Printing Solutions

T-Shirt za Round na Form Six

T-Shirt za Round na Form Six
Uchapishaji wa Nguo

T-Shirt za Round na Form Six

T-shirt za round collar na form six, tunaweka logo au picha yako kwa screen printing na DTF.

Bei kwa mahitaji
  • Delivery Mikoa YoteTanzania nzima na Zanzibar
  • Ubora wa UchapishajiRangi imara, kazi ya kudumu
  • Bei ya JumlaPunguzo kwa oda kubwa
  • Msaada wa HarakaTupigie au WhatsApp

Maelezo

Kwa printing za mat-shirt basi watusmart tuko kwa ajili yako. Tunaprint maandishi unayotaka kwenye t-shirt zako. T-shirt tunazo kwa aina na size mbalimbali kama unavyoona hapa chini. WATUSMART PACKAGING> Tulifanikiwa kuchapisha tishirt za round zenye dhima ya utalii toka kwa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu. #TunaprintTishirtZaQualityZaRound. . WATUSMART PACKAGING> Kwa kuhakikisha unapata kilicho bora na upate cha ukakika, basi tunayohuduma ya kuprint tishirt za aina mbalimbali za logo ya mwenge wa uhuru. WATUSMART PRINTS Hapa tulipata fursa ya kuprint tishirt 400pcs za Mwenge wa uhuru kwa Wilaya ya Karatu. Tunakukaribisha nawewe kuchagua kampuni yetu kufanya kazi yako kwa ufanisi na haraka zaidi. Tunaweka unadhifu wa wafanyakazi wako kwa kuweka nembo ya mashati kwa juu yake, rangi ya Light blue inaatikana ofisini kwetu. ..

Bidhaa Zinazofanana

Tazama zote