Rukia hadi maudhui
Watusmart Printing Solutions

Non-Woven Box Handles

Non-Woven Box Handles
Mifuko na Paper Bags

Non-Woven Box Handles

Mifuko ya box yenye mishikio imara — mwonekano wa kifahari kwa bidhaa za thamani.

Bei kwa mahitaji
  • Delivery Mikoa YoteTanzania nzima na Zanzibar
  • Ubora wa UchapishajiRangi imara, kazi ya kudumu
  • Bei ya JumlaPunguzo kwa oda kubwa
  • Msaada wa HarakaTupigie au WhatsApp

Maelezo

Tunauza Mifuko maalum kwa ajili ya supermarket, mifuko ya kuweka nguo ,mifuko ya kuweka viatu, mifuko ya kuweka nguo za ndani hasa za jumla na rejareja. Tupigie leo 0757618176 na Mifuko hii inakuja kwenye chat za mifuko mbadala ikisifika kwa umahili wake wa kuwa mifuko migumu zaidi kuliko aina zingine za non woven bags. Mifuko hii iko katika size mbalimbali kama A5, A4 na A3. TUPIGIE SASA HIVI AU WHATSAPP

Bidhaa Zinazofanana

Tazama zote