Rukia hadi maudhui
Watusmart Printing Solutions

Huduma

Design | Printing | Branding | Packaging

Huduma

Tunachokifanya kwa brand yako

Kuanzia design ya kwanza hadi kufikisha mlangoni kwako — design, printing, branding na packaging sehemu moja.

Design

Logo, artwork na mpangilio wa vifungashio unaoandaliwa na timu yetu.

Printing

Screen printing, digital printing na large format kwa material zote.

Branding

Nembo yako kwenye mifuko, nguo, vifaa vya matangazo na signage.

Packaging

Mifuko ya salfeti, box za katoni na paper bags kwa size yako.

Hatua za Oda

Hatua nne tu mpaka upate kazi yako

1

Tuma Design Yako

Tutumie logo au picha kwa WhatsApp au email. Huna design? Tunakutengenezea.

2

Pata Quotation

Tunakupa bei kamili kulingana na idadi, size na aina ya material.

3

Thibitisha na Lipa

Unaidhinisha sample, kisha unafanya malipo kuanza kazi.

4

Pokea Kazi Yako

Tunakukabidhi Dar au tunatuma mkoa wowote na Zanzibar.