Rukia hadi maudhui
Watusmart Printing Solutions

Dust Coat (Overcoat)

Dust Coat (Overcoat)
Uchapishaji wa Nguo

Dust Coat (Overcoat)

Overcoat za viwandani zenye nembo ya kampuni — bei ni 28,000/= tu kwa koti moja.

Kuanzia 28,000/=
  • Delivery Mikoa YoteTanzania nzima na Zanzibar
  • Ubora wa UchapishajiRangi imara, kazi ya kudumu
  • Bei ya JumlaPunguzo kwa oda kubwa
  • Msaada wa HarakaTupigie au WhatsApp

Maelezo

Tunathamini biashara yako wewe mjasiliamali kwa kutengeneza overcoat ngumu na imara sana kwa mahitaji ya ofisi za Garage, hardware, Viwanda vya aina zote n.k. . Tunaweka nembo yako juu ya overcoat zetu, size tunazo na tunazo rangi za blue na kijani.

Bidhaa Zinazofanana

Tazama zote