Rukia hadi maudhui
Watusmart Printing Solutions

Box za Sabuni

Box za Sabuni
Box za Katoni

Box za Sabuni

Box ndogo za sabuni pamoja na box za kubebea miche 10 — pamoja na printing ya nembo yako.

Bei kwa mahitaji
  • Delivery Mikoa YoteTanzania nzima na Zanzibar
  • Ubora wa UchapishajiRangi imara, kazi ya kudumu
  • Bei ya JumlaPunguzo kwa oda kubwa
  • Msaada wa HarakaTupigie au WhatsApp

Maelezo

Tunauza box za kuweka miche ya sabuni kama ile ya JAMAA SOAP. Ukitaka printing pia tunafanya kwa oda maalum kuanzia 3000pcs. WATUSMART PACKAGING> Wale waliokuwa wanaulizia box ndogo za sabuni zile moja moja zikiwa kwenye packaging ile printed basi zinapatikana kwa kutoa oda. WATUSMART PACKAGING>

Bidhaa Zinazofanana

Tazama zote