Rukia hadi maudhui
Watusmart Printing Solutions

Box za Katoni Maalum

Box za Katoni Maalum
Box za Katoni

Box za Katoni Maalum

Tunatengeneza box za katoni kwa size na ubora unaotaka, kwa gharama nafuu — hata kwa oda kubwa.

Bei kwa mahitaji
  • Delivery Mikoa YoteTanzania nzima na Zanzibar
  • Ubora wa UchapishajiRangi imara, kazi ya kudumu
  • Bei ya JumlaPunguzo kwa oda kubwa
  • Msaada wa HarakaTupigie au WhatsApp

Maelezo

TUNATENGENEZA MABOX YA KATONI KWA UBORA NA GHARAMA NAFUU SANA.. < WATUSMART> Ideas•Design •Printing •Branding •Signage •Packaging Kampuni ya VIKAPU BOMBA ya mkoani Iringa inayojihusisha na kuwasaidia wanawake kujikwamua katika umasikini kwa kuwaunganisha kwenye vikundi na kuwapa mafunzo juu ya namna ya kupata masoko kwa biashara ya ususi wa vikapu ari maarufu vikapu bomba. Siku za hivi karibu, ofisi yetu imefanikiwa kufanya kazi na VB na hapa ni picha mbalimbali;- Kwa kuwa tunahusika na vifungashio vyote basi tunakuleta aina ya kifungashio cha boksi ambacho utafurahi kuona bidhaa yako ikiwa kwenye kifungashio hicho. UNGEPENDA KUPATA MABOX SIZE MBALIMBALI NA ILI UPAKI BIDHAA ZAKO VYEMA? BASI TUNAZO BOX AINA HIVI Car ton box House moving box Shipping box Pizza box Gift box Mailer box Food box Storage box WASILIANA NASI LEO KWA

Bidhaa Zinazofanana

Tazama zote