Rukia hadi maudhui
Watusmart Printing Solutions

Mashine za Kushonea Viroba

Mashine za Kushonea Viroba
Mashine za Viroba

Mashine za Kushonea Viroba

Tunauza mashine za kushonea mifuko ya salfeti pamoja na mafunzo ya matumizi — angalia video yetu.

Bei kwa mahitaji
  • Delivery Mikoa YoteTanzania nzima na Zanzibar
  • Ubora wa UchapishajiRangi imara, kazi ya kudumu
  • Bei ya JumlaPunguzo kwa oda kubwa
  • Msaada wa HarakaTupigie au WhatsApp

Maelezo

Katika kuhakikisha mifuko yako inafungwa katika hali ya usafi na inazidi kutunza bidhaa zako vyema. #Watusmart Packaging tunakuleta mashine kali na bomba sana (Bag Closer) za kuungia viroba. Wasiliana nasi leo 0717 367 693 0757 618176 wa2smartpackaging@gmail.com www.watusmartpack.blogspot.com www.instagram.com/watusmartpackaging_ Watu wengi wamekuwa wakiuliza ni kwa vpi wanaweza kutumia mashine za kushonea viroba, tumekuandalia video fupi ambayo itaambatana na video zingine zinakuja njiani. Tazama video hiyo hapa chini. price/200,000TZS WATUSMART PACKAGING>

Bidhaa Zinazofanana

Tazama zote