Rukia hadi maudhui
Watusmart Printing Solutions

Paper Bags za Mishikio

Paper Bags za Mishikio
Mifuko na Paper Bags

Paper Bags za Mishikio

Mifuko ya khaki yenye mishikio, yenye nembo yako — inafaa boutique, mikahawa na zawadi.

Bei kwa mahitaji
Kiwango cha chini 100 pcs

Mfano: mifuko 200 kwa 35,000/=

  • Delivery Mikoa YoteTanzania nzima na Zanzibar
  • Ubora wa UchapishajiRangi imara, kazi ya kudumu
  • Bei ya JumlaPunguzo kwa oda kubwa
  • Msaada wa HarakaTupigie au WhatsApp

Maelezo

WATUSMART PACKAGING> Design | Printing | Branding | Packaging TUNAPRINT Mifuko ya salfeti au viroba vya kuwekea Unga,mchele , vyakula vya kuku,mbolea,misumari. Pia tunaprint Staff Tshirts,Caps,Uniform,Form six,Mifuko ya aina yote and other Branding Materials kwa Screen Printing pamoja na Embroidery (Kudarizi) ___________________________________________ . -For more inquiries Call Us: Tunaitambulisha kwako design mpya ya mifuko ya mishikio ikiwa imara zaidi na yenye mvuto. Mifuko hii hutumika kubebea nguo, mifuko hii kubebea viatu, mifuko hii hubebea vyakula kama kontena za chakula (za take away n.k) Pia mifuko yetu hii hubebea sabuni za natural hair, sabuni za maji , perfumes, lotions , mafuta ya aina zotee. Mifuko hii ukitaka huwekewa mikono au ukitaka bila mikono sisi hufanya hivo. Mifuko yetu huwekewa nembo juu yake au ukitaka bila nembo piaa tunafanya. Katika kujitangaza hasa kwenye ulimwengu huu wa kila kitu lazima kitangazwe basi tunakusogezea kwako huduma ya kuprintiwa mifuko kwa nembo yako na utaipata ikiwa nzuri huku unaenda kukuza biashara yako na wateja lazima waongezeke . price/500TZS WATUSMART PACKAGING> Tunauza mifuko ya khaki ya ile maalum kwa ajili ya kubebea zawadi ndogo ndogo mpaka kubwa. Fuatana nasi kutazama mifuko hii nawe ukipenda moja wapo wasiliana nasi leo WATUSMART PACKAGING> Tunapoelekea kumaliza mwaka 2020 kwa kishindo ✊✊ Tuna #offer kambambe kwa ajili yako. Kwa 35,000/= pata mifuko ya # Khaki au # paperbags 100pcs ikiwa kwenye hali nzuri😂😂😂 Wasiliana nasi leo Call/Text 0757618176

Bidhaa Zinazofanana

Tazama zote