Rukia hadi maudhui
Watusmart Printing Solutions

Mifuko ya Vyakula vya Mifugo

Mifuko ya Vyakula vya Mifugo
Vifungashio vya Salfeti

Mifuko ya Vyakula vya Mifugo

Mifuko ya vyakula vya kuku na mifugo — kama tunavyomtengenezea King Animal Feeds, Zanzibar.

Bei kwa mahitaji
  • Delivery Mikoa YoteTanzania nzima na Zanzibar
  • Ubora wa UchapishajiRangi imara, kazi ya kudumu
  • Bei ya JumlaPunguzo kwa oda kubwa
  • Msaada wa HarakaTupigie au WhatsApp

Maelezo

King Animal Feeds ni moja ya wateja wetu aliyewezakufanya kazi na sisi na ametukubali sana. Tumefanya nae kazi ya mifuko ya 50kg na hii ni size ya 54x 100 ambayo ni rangi nyeupe na pinki. Price/ Tshs.850 King Animal Feeds anahusika na kuuza vyakula vya kuku na anapatikana Zanzibar maeneo ya Ufuoni. Kama unaweza kufanya nao kazi Wasiliana nao leo kwa 0719 996 622 WATUSMART PACKAGING>

Bidhaa Zinazofanana

Tazama zote