Rukia hadi maudhui
Watusmart Printing Solutions

Mifuko ya Non-Woven D-Cut

Mifuko ya Non-Woven D-Cut
Mifuko na Paper Bags

Mifuko ya Non-Woven D-Cut

Mifuko imara na migumu ya D-Cut yenye nembo yako — inafaa kwa maduka, matukio na promosheni.

Bei kwa mahitaji
  • Delivery Mikoa YoteTanzania nzima na Zanzibar
  • Ubora wa UchapishajiRangi imara, kazi ya kudumu
  • Bei ya JumlaPunguzo kwa oda kubwa
  • Msaada wa HarakaTupigie au WhatsApp

Maelezo

Tunauza na kuprint mifuko ya kuweka bidhaa mbalilmbali aina ya non woven dcut au mifuko mbadala. Mifuko ni imara na migumu sana, bei ni kitonga sanaa. Tupigie leo 0757618176 au Mifuko hii imejizolea umaarufu kwa kutumika kwa mtu kushika kwa urahisi kabisa hivyo kumfanya mtu aipende zaidi. Ipo kwa size mbalimbali kama A5 (MIDOGO) A4 (YA KATI) A3 (MIKUBWA) WATUSMART PACKAGING>

Bidhaa Zinazofanana

Tazama zote