Rukia hadi maudhui
Watusmart Printing Solutions

Mteja Wetu "Vikapu Bomba" Amefurahia Maboksi Yetu

Mteja Wetu "Vikapu Bomba" Amefurahia Maboksi Yetu
Kampuni ya VIKAPU BOMBA ya mkoani Iringa inayojihusisha na kuwasaidia wanawake kujikwamua katika umasikini kwa kuwaunganisha kwenye vikundi na kuwapa mafunzo juu ya namna ya kupata masoko kwa biashara ya ususi wa vikapu ari maarufu vikapu bomba. Siku za hivi karibu, ofisi yetu imefanikiwa kufanya kazi na VB na hapa ni picha mbalimbali;- Kwa kuwa tunahusika na vifungashio vyote basi tunakuleta aina ya kifungashio cha boksi ambacho utafurahi kuona bidhaa yako ikiwa kwenye kifungashio hicho. UNGEPENDA KUPATA MABOX SIZE MBALIMBALI NA ILI UPAKI BIDHAA ZAKO VYEMA? BASI TUNAZO BOX AINA HIVI Car ton box House moving box Shipping box Pizza box Gift box Mailer box Food box Storage box WASILIANA NASI LEO KWA