Kampuni ya VIKAPU BOMBA ya mkoani Iringa inayojihusisha na kuwasaidia wanawake kujikwamua katika umasikini kwa kuwaunganisha kwenye vikundi na kuwapa mafunzo juu ya namna ya kupata masoko kwa biashara ya ususi wa vikapu ari maarufu vikapu bomba.
Siku za hivi karibu, ofisi yetu imefanikiwa kufanya kazi na VB na hapa ni picha mbalimbali;-
Kwa kuwa tunahusika na vifungashio vyote basi tunakuleta aina ya kifungashio cha boksi ambacho utafurahi kuona bidhaa yako ikiwa kwenye kifungashio hicho.
UNGEPENDA KUPATA MABOX SIZE MBALIMBALI NA ILI UPAKI BIDHAA ZAKO VYEMA? BASI TUNAZO BOX AINA HIVI
Car ton box
House moving box
Shipping box
Pizza box
Gift box
Mailer box
Food box
Storage box WASILIANA NASI LEO KWA