Skip to content
Watusmart Printing Solutions

Rice Packaging Sacks

Rice Packaging Sacks
Woven Sacks & Packaging

Rice Packaging Sacks

Branded rice sacks — the same ones we produce for Katani, Mtujina and Victoria Super Sembe.

Price on request
  • Nationwide DeliveryAll regions and Zanzibar
  • Print QualityStrong colours, lasting finish
  • Wholesale PricingDiscounts on bulk orders
  • Fast SupportCall or WhatsApp us

Description

Karibu boss upate kuchapisha mifuko ya kuweka mchele ikiwa na jina au nembo yako kwa gharama nafuu sana. Usikwame kujibrand kwa kutojua niwapi unapata mifuko mizuri. WATUSMART PACKAGING> Mifuko ya kuweka mchele yenye nembo yako inapatikana kwetu tu. Ni mifuko imara, bora na yenye kuvutia wala haichuji rangi kwani inakaa na rangi yake muda mrefu zaidi. Mteja wetu KATANI ameshafanya maamuzi sahihi kufanya kazi na sisi, anatumia mifuko toka kwetu, kazi yake ni kupiga simu tuu na kuchukua mifuko na kuuza mchele. Wasiliana nasi sasa hivi Tunauza na kuprint mifuko ya viroba au salfeti maalum kwa ajili ya kuweka mchele kuanzia 5kg mpaka 50kg. Mteja huyu anaipenda mifuko yenu maana ni imara sana na ameweza kuhifadhi mchele wake vyema na ameweza kufikia wateja wengi kwa kujitangaza maana mifuko yake ni safi na mizuri sana. Wasiliana nasi leo Leo tunaye mteja wetu VICTORIA SUPER SEMBE Nembo yake kama unavyoiona ni maridadi sana. Yeye pamoja na kuhitaji kufanya kaz nasisi alipenda huduma yetu kwa wateja mpaka amekuwa sehemu ya familia yetu. VICTORIA anafanya biashara za uzalishaji wa unga maeneno ya Singida pamoja na viunga vyake na pia amethubutu kuingia mpaka maeneo ya Simiyu. Kama wewe unataka kufanya nae kazi ya kukusambazia unga basi wasiliana nae leo. +255759616017 +255674102 696 < WATUSMART PACKAGING > Zifuatazo ni samples za mifuko mbalimbali zilichoprintiwa na machine yetu. Zitazame hapa price/TZS690 WATUSMART PACKAGING>

Related Products

View all