Skip to content
Watusmart Printing Solutions

Woven Polypropylene Sacks

Woven Polypropylene Sacks
Woven Sacks & Packaging

Woven Polypropylene Sacks

Heavy-duty woven sacks for flour, rice, fertiliser, hardware and animal feed — printed with your brand.

Price on request
  • Nationwide DeliveryAll regions and Zanzibar
  • Print QualityStrong colours, lasting finish
  • Wholesale PricingDiscounts on bulk orders
  • Fast SupportCall or WhatsApp us

Description

Pata kuona mifuko yetu aina mbalimbali ya Viroba toka kwetu.Ni fursa ya kipekee kwako kutumia mifuko yetu ya kuweka UNGA, VYAKULA VYA KUKU, MCHELE, GYPUSM, MBOLEA n.k. Mashine zetu huprint rangi nzuri zisizobanduka na ndani ya siku 3 tu mifuko yako inakuwa tayari. ... WATUSMART PACKAGING> Design | Printing | Branding | Packaging TUNAPRINT Mifuko ya salfeti au viroba vya kuwekea Unga,mchele , vyakula vya kuku,mbolea,misumari. Pia tunaprint Staff Tshirts,Caps,Uniform,Form six,Mifuko ya aina yote and other Branding Materials kwa Screen Printing pamoja na Embroidery (Kudarizi) ___________________________________________ . -For more inquiries Call Us: 0717 367693 /0757 618 176 Booking Email: wa2smartpackaging@gmail.com Website: www.watusmartpack.blogspot.com ___________________________________________ . PACKAGING| PRINTING | BRANDING | PROMOTIONAL MATERIALS | DIGITAL MARKETING |CORPORATE | WEBSITE |DESIGN Katika kuhakikisha kazi yako inakuwa safi na nadhifu kabisa. #watusmartpackaging tunajuza leo mambo muhimu kabla ya kuchapisha mifuko toka kwetu au sehemu nyingine. 1. Artwork /picha Kabla ya kuchapisha mifuko ya kuwekea unga ile ya viroba au ya salfeti ni muhimu kuwa na mchoro au picha ambayo unataka kuiweka kwenye mfuko wako. Mara nyingi tunashauri iwe (softcopy)ambayo tutaweza kuitumia kufanyia marekebisho au ushauri kulingana na mashine zetu. 2. Kuichonga rubber, kazi hufanywa na wataalam ambayo kwa uhalisia kwetu #watusmartpackaging tunachukua siku 2 mpaka 3 kuikamilisha kazi ya kuchonga rubber au muhuri ambayo ndio hutumika kuchapishia viroba au salfeti. Mwisho wa posti hii ziko picha zinazoonesha hii rubber baada ya kuchongwa toka kwenye picha hadi kuwa rubber iliyo na mchoro. 3. Kuchapisha au kuprint mifuko Hatua hii ndio hatua ya mwisho na ndio kusudio letu. Na kwa hapa tunachukua siku 1 mpaka mbili kukamilisha kazi ya kuchapisha kwa maana ya kutegemea oda za siku husika na malighafi tulizonazo stoo. Hivyo kwa jibu rahisi katika swali "Lini mnamaliza kazi yangu ya kuchapisha mifuko?" Jibu : Ndani ya siku 4 mpaka 5 kwa mteja ambaye hana rubber (ndio anaanza)ila kwa yule mzoefu basi ndani ya siku moja mpaka mbili. < WATUSMART PACKAGING> Tunapoelekea kumaliza mwaka 2020 kwa kishindo cha awamu mpya na raisi mpyaa ✊✊ Tuna #offer kambambe kwa ajili yako. Kwa 50,000/= pata mifuko ya saleti au viroba 100pcs ikiwa na nembo yako ukaweke mchele au unga wako uchumi uongezeke tuende uchumi wa juu kabisaa 😂😂😂 Wasiliana nasi leo Call/Text 0757618176

Related Products

View all