4 picha
Box za Chaki
Box za chaki zenye nembo yako — asante Dolfin Chalk kwa kutuamini.
Delivery BURE Dar es Salaam kwa oda kuanzia 300,000/=
Bidhaa zinazoagizwa zaidi na wateja wetu
36 matokeo
4 picha
Box za chaki zenye nembo yako — asante Dolfin Chalk kwa kutuamini.
6 picha
Tunatengeneza box za katoni kwa size na ubora unaotaka, kwa gharama nafuu — hata kwa oda kubwa.
Mifuko ya khaki ya rangi nyeupe inayoonyesha rangi za logo yako vizuri zaidi.
2 picha
Saa za ukutani zenye picha au nembo yako ndani — zawadi ya kipekee kwa wateja na wafanyakazi.
2 picha
Suit bags za kuhifadhi suti na nguo rasmi, zenye nembo ya duka au tailor wako.
5 picha
Picha zilizoprintiwa kwenye mbao za size mbalimbali — zawadi nzuri na mapambo ya ofisi.
6 picha
Sare na t-shirt za shule kuanzia msingi mpaka sekondari, zenye jina na nembo ya shule.
4 picha
Box ndogo za sabuni pamoja na box za kubebea miche 10 — pamoja na printing ya nembo yako.
6 picha
Box za kubebea mafuta ya kula, asali na vinywaji vya lita 3 au 5 zenye nembo ya bidhaa yako.
2 picha
Mifuko ya ujazo wa kilo 5 (5KG net) kwa mchele, sukari na maharage yenye nembo yako.
2 picha
Tunauza mashine za kushonea mifuko ya salfeti pamoja na mafunzo ya matumizi — angalia video yetu.
Mifuko ya vyakula vya kuku na mifugo — kama tunavyomtengenezea King Animal Feeds, Zanzibar.