Maarufu
15 picha
Mifuko ya Non-Woven D-Cut
Mifuko imara na migumu ya D-Cut yenye nembo yako — inafaa kwa maduka, matukio na promosheni.
Delivery BURE Dar es Salaam kwa oda kuanzia 300,000/=
Maarufu
15 picha
Mifuko imara na migumu ya D-Cut yenye nembo yako — inafaa kwa maduka, matukio na promosheni.
Maarufu
6 picha
Mifuko ya W-Cut yenye ujazo mkubwa, bora kwa bidhaa nzito na oda za jumla.
Maarufu
14 picha
Mifuko ya box yenye mishikio imara — mwonekano wa kifahari kwa bidhaa za thamani.
Maarufu
19 picha
Mifuko ya khaki yenye mishikio, yenye nembo yako — inafaa boutique, mikahawa na zawadi.
Tunatuma mikoa yote na Zanzibar. Oda za jumla zinapata bei nafuu zaidi pamoja na kuponi za kila mwezi.
30+
Aina za bidhaa
500+
Oda zilizofikishwa
26
Mikoa tunayofika
4-5
Siku za kazi
Mpya
19 picha
T-shirt za round collar na form six, tunaweka logo au picha yako kwa screen printing na DTF.
Mpya
4 picha
Kofia zenye logo au picha yako kwa 12,000/= tu — nzuri kwa timu, matukio na promosheni.
Mpya
3 picha
Apron za ubora mkubwa kwa mikahawa, saluni na viwanda — tunaweka logo au picha yako.
Mpya
13 picha
Reflective vest za maofisini (executive) na za ujenzi zenye nembo yako — 25,000/= tu.
Mpya
7 picha
Overcoat za viwandani zenye nembo ya kampuni — bei ni 28,000/= tu kwa koti moja.
Mpya
6 picha
Kalamu, vikombe, wrist band, key holder na vifaa vyote vya matangazo vyenye nembo yako.
Mpya
4 picha
Box imara za kuhamishia vitu ofisini na majumbani — hazipasuki hata na mizigo mizito.
Mpya
43 picha
Viroba imara vya kuwekea unga, mchele, mbolea, misumari na vyakula vya mifugo — vinaprintiwa nembo yako.
Tutumie logo au picha kwa WhatsApp au email. Huna design? Tunakutengenezea.
Tunakupa bei kamili kulingana na idadi, size na aina ya material.
Unaidhinisha sample, kisha unafanya malipo kuanza kazi.
Tunakukabidhi Dar au tunatuma mkoa wowote na Zanzibar.
"Watusmart walituprintia box za chaki zenye nembo yetu kwa ubora mkubwa na kwa wakati."
"Tumefurahia maboksi yetu — imara, safi na yanaonyesha brand yetu vizuri."
"Mifuko yetu ya salfeti ina nembo yetu kabisa; wateja wanatutambua sokoni haraka."
"Hata tukiwa Zanzibar, oda zetu zinafika salama na kwa wakati."
"Kazi ya printing ni safi sana — rangi hazififii hata mfuko ukikaa muda mrefu."
"Wanajua wanachofanya. Mifuko yenye nembo yetu ilikuja kama tulivyokubaliana."