Rukia hadi maudhui
Watusmart Printing Solutions

Reflective Vest

Reflective Vest
Uchapishaji wa Nguo

Reflective Vest

Reflective vest za maofisini (executive) na za ujenzi zenye nembo yako — 25,000/= tu.

Kuanzia 25,000/=
  • Delivery Mikoa YoteTanzania nzima na Zanzibar
  • Ubora wa UchapishajiRangi imara, kazi ya kudumu
  • Bei ya JumlaPunguzo kwa oda kubwa
  • Msaada wa HarakaTupigie au WhatsApp

Maelezo

Tunauza na kuprint reflactors za maofisini kwa ajili ya maboss yaani (executive) . Reflactors zetu ngumu sana, imara na zinakuwa na mifuko ya kufunga ambayo hukuwezesha kutunza vitu vyako. Tunatuma kila siku ndani na nje ya nchi. BEI: 25,000/= KWA MOJA. TUNAANZIA PC3 INAKUWA NA LOGO MBELE NA MAANDISHI NYUMA Tunakukaribisha kuprint reflactors kwa gharama nafuu sana. bei yetu ni 12,000 tu .Piga simu hapa au whatsapp

Bidhaa Zinazofanana

Tazama zote