Tunatengeneza box za kuweka madumu ya kuweka bidhaa mbalimbali kama vile mafuta ya kula, asali, sabuni za maji n.k. Oda za box hizi ni kuanzia 500pcs. ukitaka na printing tunafanya.
WATUSMART PACKAGING>
Delivery BURE Dar es Salaam kwa oda kuanzia 300,000/=