Mifuko hii ni mizuri sana kwani unaweza kuweka unga wako ukawa salama kabisa kwani tunaweza LAMINATION kwa juu ili mfuko uwe imara na ndani bidhaa isiguswe na unyevu wala kuchafuka.
Delivery BURE Dar es Salaam kwa oda kuanzia 300,000/=