Mifuko hii imejizolea umaarufu kwa kutumika kwa mtu kushika kwa urahisi kabisa hivyo kumfanya mtu aipende zaidi. Ipo kwa size mbalimbali kama A5 (MIDOGO) A4 (YA KATI) A3 (MIKUBWA)
WATUSMART PACKAGING>
Delivery BURE Dar es Salaam kwa oda kuanzia 300,000/=