Leo tunaye mteja wetu
VICTORIA SUPER SEMBE
Nembo yake kama unavyoiona ni maridadi sana. Yeye pamoja na kuhitaji kufanya kaz nasisi alipenda huduma yetu kwa wateja mpaka amekuwa sehemu ya familia yetu.
VICTORIA anafanya biashara za uzalishaji wa unga maeneno ya Singida pamoja na viunga vyake na pia amethubutu kuingia mpaka maeneo ya Simiyu.
Kama wewe unataka kufanya nae kazi ya kukusambazia unga basi wasiliana nae leo.
+255759616017 +255674102 696
< WATUSMART PACKAGING >