Tunauza na kuprint mifuko ya viroba au salfeti maalum kwa ajili ya kuweka mchele kuanzia 5kg mpaka 50kg.
Mteja huyu anaipenda mifuko yenu maana ni imara sana na ameweza kuhifadhi mchele wake vyema na ameweza kufikia wateja wengi kwa kujitangaza maana mifuko yake ni safi na mizuri sana. Wasiliana nasi leo