Mifuko ya W-CUT ni mifuko pendwa kwa wajasiliamali wadogo ambao hawana mambo mengi ya kuangalia ni aina gani ya mfuko wamebeba huku wakifurahia tu gharama ndogo za mifuko hii.
Ipo kwa size mbalimbali kama A5 (MIDOGO) A4 (YA KATI) A3 (MIKUBWA)
KWA KUNUNUA MIFUKO HII KWA REJAREJA AU JUMLA
WASILIANA NASI PIGA SIMU AU WHATSAPP +255683 557 564
WATUSMART PACKAGING>