Mifuko ya kuweka mchele yenye nembo yako inapatikana kwetu tu. Ni mifuko imara, bora na yenye kuvutia wala haichuji rangi kwani inakaa na rangi yake muda mrefu zaidi. Mteja wetu KATANI ameshafanya maamuzi sahihi kufanya kazi na sisi, anatumia mifuko toka kwetu, kazi yake ni kupiga simu tuu na kuchukua mifuko na kuuza mchele. Wasiliana nasi sasa hivi