Skip to content
Watusmart Printing Solutions

King Animal Feeds: Muuzaji Wa Vyakula Vya Kuku Fuoni - Zanzibar

King Animal Feeds: Muuzaji Wa Vyakula Vya Kuku Fuoni - Zanzibar
King Animal Feeds ni moja ya wateja wetu aliyewezakufanya kazi na sisi na ametukubali sana. Tumefanya nae kazi ya mifuko ya 50kg na hii ni size ya 54x 100 ambayo ni rangi nyeupe na pinki. Price/ Tshs.850 King Animal Feeds anahusika na kuuza vyakula vya kuku na anapatikana Zanzibar maeneo ya Ufuoni. Kama unaweza kufanya nao kazi Wasiliana nao leo kwa 0719 996 622 WATUSMART PACKAGING>