Mifuko hii inakuja kwenye chat za mifuko mbadala ikisifika kwa umahili wake wa kuwa mifuko migumu zaidi kuliko aina zingine za non woven bags. Mifuko hii iko katika size mbalimbali kama A5, A4 na A3.
TUPIGIE SASA HIVI AU WHATSAPP
FREE delivery in Dar es Salaam on orders from 300,000/=